News

Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Mashindano hayo yaliyofikia awamu ya 12, yamewaleta pamoja viongozi wa makampuni, wafanyakazi na wanajamii kwa wiki moja, ...
Hatimaye kiu ya muda mrefu ya wakazi wa Mbagala inakwenda kupata ahueni baada Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) kusema ...
Mrufani huyo na wenzake wawili (siyo warufani katika rufaa hiyo) ambao ni Deodatus Patrick na aliyekuwa Ofisa wa Jeshi la ...
Shirika la World Vision Tanzania limetimiza miaka 20 ya kutoa huduma za afya kwa watoto na jamii wilayani Nzega, mkoani ...
Katika harakati za kushawishi wadhamini kwa mtiania wa urais wa Tanzania wa Chaumma, Salum Mwalimu, mtiania mwenza wake, ...
Tume hiyo imesisitiza kuwa dira hiyo siyo ya Serikali peke yake, bali ni mwongozo wa pamoja wa kujenga mustakabali wa Taifa ...
Shirika la Huduma za Elimu la Aga Khan (AKES) kwa kushirikiana na Benki ya DTB limetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi ...
Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii, bila shaka utakuwa umekutana na ukurasa wa Stephanie Aziz Ki, nyota wa zamani wa ...
Serikali imetoa zaidi ya Sh900 milioni kwa ajili ya kukarabati na kuboresha miundombinu na majengo ya Hospitali ya Mji wa ...
Baada ya kukaa majuu kwa ngwe nyingi, kfyatufyatu si nikajitia kiherehere na mbambamba kwenda kujinoma Dar––si––Salama.