KITUO cha afya Mirerani kina changamoto ya upungufu wa wodi ya wanawake na watoto na kusababisha msongamano mkubwa kwa wagonjwa wanapolazwa kwani kinahudumia baadhi ya watu wa wilaya za Simanjiro ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, imemhukumu Salum Sume ,34, maarufu kwa jina la Baba Arafat ...
HIVI karibuni ulifanyika Mkutano wa Wenyeviti wa Kamati za Afya kwa Mabunge ya Afrika uliojadili na kutathmini ...
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba, pia ununuzi wa umeme kutoka nchi jirani haumaanishi kwamba ...
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Raslimali Watu kutoka Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis (kulia) akamkabidhi zawadi ...
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31) ...
NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Geophrey Pinda,amewataka wananchi wa Jimbo la Kavuu mkoani ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewasili Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ukomo wa ubunge na udiwani wa Viti Maalumu. Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ...
“Aidha, bajeti hii itahusisha maandalizi ya nyenzo za utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Vilevile, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameonya viongozi wanaosumbua wawekezaji. Akifungua Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za ...
SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza ujenzi wa barabara ya Kimara – Mavurunza – Bonyokwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results